Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Baadhi ya mashabiki wa kibongo ni kama mambuzi tu.hili swali na Mimi Ndo nilitaka kuuliza vipi kama Singida wangeongeza Goal la Pili Bado tungesema Hvyo?
Au kwa sababu simba kasawazisha..?
Kwenye ile mechi kati ya Simba Sc na Wydad kule ugenini ziliongezwa dakika ngapi? Na Simba Sc akaja kufungwa dakika ya ngapi?
Tulivyolalamika mashabiki wa Yanga Sc waliponda sana, ila leo kwakua haiko upande wao ndio wanaona tatizo?
Mimi sioni tatizo lolote kwa refa.