FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Kwa hiyo wewe hujawahi kuona magoli kama hayo?
Niache namcheki Liverpool anakichafua na Fulham kwanza πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸš¬πŸš¬πŸš¬πŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈ
 
Dada Mlandege kutoka visiwani Zanzibar amechaguliwa viti maalu kucheza fainal ya mapinduzi cup na dada Simba sc kutoka Tz BaraπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…

Dadaziiii wakiwezeshwa wanaweza!.
 
Sijaangalia mpira
Ila kwa comment hizi ni dhahili kuna shida

Mhasinu [mention]OKW BOBAN SUNZU [/mention] kuna nini mkuu?
 
Mkuu huu mpira aliodaka kipa nje angalia vizuri mguu wa beki wakati Saido anapiga cross,mpira uliguswa kule kwa Saido

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaani ufananishe matukio mawili simba tayari alisha poteza singida angeongeza hawezi lalamika maana tayari kasha lala yooooh

ila singida kufungwa lazima alalamike maana tayari anaongoza anakuja pokonywa ushindi hapo n tofauti mkuu
Kwani aliyelalamika Ni SINGIDA au Ni YANGA 🀣🀣
MAana kwa utashi wangu Wanaolalamika ni YANGA na Sio SINGIDA
 
Umeandika ukweli mtupu ila hapo kwenye 50mb hapana.
 
Mkuu we hujaona wale Jamaa wa Singida waliounawa mpira tena ndani ya box kabisa?!
Ulikuwa busy tu kuangalia muda ambao kwa sehemu kubwa ulikuwa unapotezwa na Wachezaji wa Singida FG?
Inategemea kaunawa kwa aina gani ndio maana kuna ball hands na hands ball. Na sio kama alipeleka mkono kwenye mpira kwa makusudi, na kuhusu kupoteza muda ni kweli Singida FG walipoteza muda mchezoni. Yote kwa yote mpira ni mchezo wa makosa na ni lazima makosa yatokee ili timu zifungane. πŸ‘πŸΎ
 
Yote kwa yote mchezo umemalizika na kuamua Simba SC kukichafua na Mlandege FC. Nipo muda huu na cheki Carabao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…