Haya ndio maoni yangu baada ya kuangalia mazingira ya bao.
Critics wengi walikuwa wanalalamikia swala la kuongeza dakika 6 na mpira kuchezwa hadi dakika 9 ambapo ndio goli lilipozaliwa.
Kwasababu sikuangalia mpira kwa dakika hizo, na highlights hazikupi matukio yote yaliyofanyika katika muda wa dakika 75 nilioondoka nashindwa kuamua kama ni kweli hayo malalamiko yao yana reasons
Nasema hivyo kwasababu inawezekana baada ya hizo dakika 6 refa alizoongeza, Singida walikuwa wanajiangusha na kupoteza muda kimakusudi.
Kwa scenario hiyo refa kuendeleza mpira kupitiliza zile dakika 6 ni fair kabisa.
Lakini baada ya kuona highlights ya goli nimeona kulikuwa na hoja ya msingi ya critics kulaumu, lakini kwa bahati mbaya wengi hawakujikita huko.
Hoja ya msingi ambayo mimi nilitegemea kuona inazungumzwa na critics ilikuwa ni ile controversial ya kona baada ya kipa wa Singida kudaka mpira.
Kwa bahati katika kipindi cha kwanza tukio kama hilo lilitokea na mimi nilishuhudia kipa akidaka mpira kwa mazingira kama hayo hayo na maamuzi yaliyotolewa ni hayo hayo.
Utofauti ni kwenye matokeo ya hiyo kona.
So at least wangekuja na hoja hii kumlalamikia mwamuzi japo hili nalo limekaa paradoxically sana magwiji mtakuja kuweka sawa kwenye hili (lakini wakati mnaweka sawa si tayari tupo fainali)
Tumeshinda ndio kitu muhimu
View attachment 2867830