BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Wapuuzi ni wengi..hasa wakiwa wanataka lao litimie na halijatimiaMimi ninachoshangaa kumbe Tz tuna watu wengi sana wajinga hasa linapokuja suala la mpira... Yani mtu anashangaa kwa nini ile ilikuwa kona, wakati mchezaji wa Singida ali deflect ule mpira kabla ya kipa kuudaka nje ya mstari ndio maana ikawa kona.
Dakika za nyongeza hata zikiwa 2, refa anauwezo wakuchezesha mpaka dakika za ziada ikiwa tu kulikuwa na upotevu wa muda...
Mfano hii mechi ya juzi Inter vs Verona, dakika ziliongezwa 5 lakini mechi ilienda mpaka dakika 100.
View: https://youtu.be/GVZW1X6_p1Y
Kingine, ukumbuke zile dakika 6 za nyongeza zilikua ni za moto sana. Singida walikua hawapigi pasi tatu. Wao ilikua ni wakipata mpira wanapiga pasi moja, ya pili inabutuliwa mbele huku Simba wakijitahidi kuongeza mashambulizi.Vp km zimeongezwa dakika mbili na hizo dakika mbili zimepotea bila kuchezewa kwa sababu wachezaji wanalala lala waki act wameumia... Hapo vp refarii atamaliza tu mpira si ndio? Niambie kwa hiyo scenario refarii atafanyaje?
Tatizo Yanga imeumia mara mbili kipigo cha APR na cha Jana. Vinauma acheni wabwabwaje.Moderator hapo kwenye Singida weka Singida and Yanga
una uhakika hilo litopolo lenye mwiko nyuma linajua kiingereza???
Kwenye ile game ya Simba vs Singida FG kosa kubwa niloiona ni kuwa kwenye dakika ya 85+... Mpira uliopigwa na mchezaji wa Simba ulikuwa umetoka na kipa wa Singida aliudakia nje cha kushangaza mwamuzi alitoa kona kwa Simba, ambapo kona hiyo ndio iliwacost Singida. Wakati huo mwamuzi anasema kona mshika kibendera anasema ni Goalkick.....πππππππ€£π€£π€£π¬π¬π¬ππΎββοΈππΎββοΈππΎββοΈWale tuliokuwa tunabishana kuhusu kupendelewa kwa Simba kwenye mechi yao dhidi ya Singida FC kwenye mechi yao ya kuwania kuingia fainali ya kombe la Mapinduzi someni hiyo ππΎππΎππΎ
Post in thread 'Kumekucha: kamati ya waamuzi (ZFF) yasema Simba ilipendelewa' Kumekucha: kamati ya waamuzi (ZFF) yasema Simba ilipendelewa