FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Nakusisitiza tumia akili. Kama hujui mpira jifunze kuhusu dakika za nyongeza

Tatizo sio dakika za nyongeza bali kona iliyozaa goli haikuwa kona ya khalali.. mpira kipa aliudakia nje na mshika kibendera alionyesha..
Acheni upenzi na [emoji881] kwenye ukweli tuseme timu zote mbili zilizoingia fainal ya Mapinduzi Cup zimebebwa full stop
 
Tatizo sio dakika za nyongeza bali kona iliyozaa goli haikuwa kona ya khalali.. mpira kipa aliudakia nje na mshika kibendera alionyesha
Anatoa povu kwa madai anaujua mpira
 
Tatizo sio dakika za nyongeza bali kona iliyozaa goli haikuwa kona ya khalali.. mpira kipa aliudakia nje na mshika kibendera alionyesha..
Acheni upenzi na [emoji881] kwenye ukweli tuseme timu zote mbili zilizoingia fainal ya Mapinduzi Cup zimebebwa full stop
Nimemjibu alichochangia. Mchango wako umsaidie pia kwenye lalamiko la dakika
 
Watu pia wanajizima data.... Wanauliza pia dakika 98 zilifika vip ingawa ziliongezwa dakika 6.

Refa alivoamuru kona wachezaji wa Singida walimzonga refarii kwa Muda mrefu. Na pia simba walivofunga goli walienda kushangilia na kupelekeana dakika kuzidi kupitiliza 98

Kipa alienda kudaka mpira uliotoka nje ili iweje?

Kwa sababu haikuwa kona ilikuwa ni goal kick ndio maana walimzonga mwamuzi ilikhali mshika kibendera pia alionyesha sio kona ile…
Hv mpira mnaangalia na undunye ama
 
Wqlimzonga refa baada ya Kona au kabla ya Kona?
 
Walimfuata refa kumwambia awasiliane na mshika kibendera ameonyesha goal kick.. ule mpira ulikuwa tayari umeshatoka nje haikuwa kona.

Acheni mahaba na timu zenu ndio maana mnazimiaga ovyo uwanjani
 
Tatizo sio dakika za nyongeza bali kona iliyozaa goli haikuwa kona ya khalali.. mpira kipa aliudakia nje na mshika kibendera alionyesha..
Acheni upenzi na [emoji881] kwenye ukweli tuseme timu zote mbili zilizoingia fainal ya Mapinduzi Cup zimebebwa full stop
Kumbe shida ni ile kona? Sawa tumeelewa.
 
Kwa sababu haikuwa kona ilikuwa ni goal kick ndio maana walimzonga mwamuzi ilikhali mshika kibendera pia alionyesha sio kona ile…
Hv mpira mnaangalia na undunye ama
Kipa alienda kudaka mpira uliotoka lengo lilikua ni nini?
 
Huyu babu ana gundu na nuksiii. Hafaiiii
Hilo linawezekana pia. Lakini kwangu mimi naona mipira yote ya Simba pale mbele ikifika kwa Saidoo inafia kwake. Maajabu kwangu hata benchi la ufundi halioni huo udhaifu wa Saidoo anacheza mwanzo mwisho. Natamani kujua Saidoo anatumia kitu gani kulipumbaza benchi la ufundi na mbaya zaidi mpaka viongozi nao wapo kwenye mkumbo wa kumuongezea mkataba wake unaoelekea ukingoni badala ya kutafuta mchezaji mwingine mahiri wa kuiongeza nguvu na ubunifu safu ya ushambuliaji wa Simba.
 
Kipa alienda kudaka mpira uliotoka lengo lilikua ni nini?
😂😂Ila watu alikuwa ktk kutekeleza majukumu mkuu wakati anafuata tayari kulikuwa na mchezaji wa simba yupo karibu huenda angeleta madhara you never know, bahati mbaya anaufikia ukiwa umetoka
 
Watu pia wanajizima data.... Wanauliza pia dakika 98 zilifika vip ingawa ziliongezwa dakika 6.

Refa alivoamuru kona wachezaji wa Singida walimzonga refarii kwa Muda mrefu. Na pia simba walivofunga goli walienda kushangilia na kupelekeana dakika kuzidi kupitiliza 98

Kipa alienda kudaka mpira uliotoka nje ili iweje?
Huwa hakuna muda wa nyongeza baada ya muda wa nyongeza
 
Nani kakuambia?? Sikiongezwa 4 maanake mpira uchezwe dakika 4. Mlale, mgaragare refa anaangalia muda mpira uliochezwa haangalii dakika zimefika ngapi
 
Huwa hakuna muda wa nyongeza baada ya muda wa nyongeza
Vp km zimeongezwa dakika mbili na hizo dakika mbili zimepotea bila kuchezewa kwa sababu wachezaji wanalala lala waki act wameumia... Hapo vp refarii atamaliza tu mpira si ndio? Niambie kwa hiyo scenario refarii atafanyaje?
 
Back
Top Bottom