FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Ndani ya dakika sita za nyongeza faulo zilifanyika mbili wachezaji wa Singida FG walijilaza uwanjani hadi refarii anaita madaktari wachezaji wa Singida wakawa wanakataa daktari asiingie kwasababu wanajua daktari akiingia lazima mchezaji atoke nje kwanza ndiyo aingie...
Sio kwamba hawa watu hawatajui hayo, wanajua sana
 
Kabisa mkuu, zile 6 ndio zilitokana na matukio ya kupoteza muda, mimi nataka mtu aje atuelezee ndani ya izo 6 nitukio gani lilitokea la kupoteza muda lililopelekea kuongeza zingine 3
Yule beki wa Singida FG alijilaza uwanjani ndani ya dakika za nyongeza refarii akaita madaktari wa timu waingie kumtibu lakini wachezaji wa Singida walikataa kwasababu walijua daktari akiingia lazima mchezaji atoke nje ndiyo aruhusiwe kuingia tena kitu ambacho Singida FG hawakutaka.

Lile tukio zilipotea zaidi ya dakika mbili na mwamuzi ana mamlaka ya kusimamisha muda ili dakika zilizoongezwa zichezwe kikamilifu.
 
Late commenter kama kawaida yangu...enheeee nini kimejiri huko,ati naskia matopolo au nyuma mwiko fc,kinyesi fc,kibudu fc,yameumia sana kuliko hata SFG fc???but why??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa tukubali ni mapenzi ya refa.

Vipi mnabaki na kipa halafu mbashindwa kufunga magoli hapo napo ni mapenzi ya refa?

Ni vyema mkikubali kuwa mmeshindwa kwa sababu mmeshindwa refa hahusiki hapo bwashee 😂
Kwa alichokifanya refa aliwavunja moyo na kuwatoa mchezoni Singida
 
Singida wamezingua wenyewe kwa kupoteza muda
ndio maana refa ameongeza dakika zake yaani hiyo ndio inakuwa fundisho chezeni mpira ili kuondoa lawama kwa refa.
Hebu tuelezee ni mchezaji gani kwenye dk ya ngapi ndani ya zile 6 alipoteza muda wa dk 3 mpaka ziongezwe 3 zingine?
 
Kwa upotezaji muda wa yule kipa wa Singida, unadhani kulikuwa na ulazima wa yeye kulazimisha kudaka mpira ambao hauendi golini huku akijua kuwa ni goalkick?

Kipa alijua kuwa mchezaji wake kagusa na akalazimika kuudaka ili kuzuia kona, bahati mbaya kaudaka ukiwa tayari umetoka hivyo ikawa ni kona.

Refa analaumiwa bure kwakua yametokea matokeo ambayo hamkuyataka baada ya hiyo kona.
Ule mpira haukuguswa. Kwa kuuangalia kawaida hzukuguswa, na hata marudi ya picha za video yanaonyesha hivyo.
Kikubwa ni kwamba hata kwa uangaliaji wa kawaida hata uwe mbali ule mpira hauna utata kwamba haukuguswa na mchezaji wa Singida
 
Simba wakicheza na timu yoyote halafu Saidoo akawepo kwenye list ya wachezaji 11 wanaoanza basi jua kabisa siku hiyo Simba itakuwa na wachezaji 10 na hiyo timu pinzani inakuwa na wachezaji 12 na ushindi wa Simba utapatikana kwa shida sana. Viongozi shtukeni na mkitaka kuhakikisha hilo rudini mkatazame kwa umakini mechi za hivi za karibuni ambazo Saidoo hajacheza muone Simba ilikuwa inachezaje.
 
Nishida kiukwel amefanikiwa kuwafikisha nchii ya Ahadi
IMG-20240111-WA0045.jpg
 
Simba wakicheza na timu yoyote halafu Saidoo akawepo kwenye list ya wachezaji 11 wanaoanza basi jua kabisa siku hiyo Simba itakuwa na wachezaji 10 na hiyo timu pinzani inakuwa na wachezaji 12 na ushindi wa Simba utapatikana kwa shida sana. Viongozi shtukeni na mkitaka kuhakikisha hilo rudini mkatazame kwa umakini mechi za hivi za karibuni ambazo Saidoo hajacheza muone Simba ilikuwa inachezaje.
Huyu babu ana gundu na nuksiii. Hafaiiii
 
Yule beki wa Singida FG alijilaza uwanjani ndani ya dakika za nyongeza refarii akaita madaktari wa timu waingie kumtibu lakini wachezaji wa Singida walikataa kwasababu walijua daktari akiingia lazima mchezaji atoke nje ndiyo aruhusiwe kuingia tena kitu ambacho Singida FG hawakutaka.

Lile tukio zilipotea zaidi ya dakika mbili na mwamuzi ana mamlaka ya kusimamisha muda ili dakika zilizoongezwa zichezwe kikamilifu.
Watu pia wanajizima data.... Wanauliza pia dakika 98 zilifika vip ingawa ziliongezwa dakika 6.

Refa alivoamuru kona wachezaji wa Singida walimzonga refarii kwa Muda mrefu. Na pia simba walivofunga goli walienda kushangilia na kupelekeana dakika kuzidi kupitiliza 98
Ule mpira haukuguswa. Kwa kuuangalia kawaida hzukuguswa, na hata marudi ya picha za video yanaonyesha hivyo.
Kikubwa ni kwamba hata kwa uangaliaji wa kawaida hata uwe mbali ule mpira hauna utata kwamba haukuguswa na mchezaji wa Singida
Kipa alienda kudaka mpira uliotoka nje ili iweje?
 
Back
Top Bottom