FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Marefa wa huku kwetu hawazingatii,ila baadhi za nchi za ulaya hata extra time ukipoteza mda dk zinahesabiwa ulizopoteza ndo maana siku hizi unaona dk zimeongezwa 5 unashangaa livescore zimefika hata dk 12.

Hizi sheria ziliapply sana world cup na euro national qualifications pia.

Lakini cha kushangaza sana wanaolalamika humu wao wanapofaidika na hiyo situation ni sawa,kwa wengine wanabebwa.

Lakini hii mechi ya leo imeongezwa dk 6 au 8? Mbona mi niliona dk 8 au niliangalia kibao cha kumwingiza mchezaji imeandikwa namba 8?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi sijaangalia kipindi cha pili chote
 
Nim report kwa moderators? Akat me mwenyewee naweza kum mudu? Wee ntamfurahishaaa mbna.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣😂😁😁 Mpige spana huyooo pigaa huyoooo mpaka awe na adabu
 
Yaan huwa unajistukiaaa haswaaa.
Kwan huwa unaogopaga nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenzio wotee wamepoteanaaaa.
🤣😁😁😁Napenda sana mpira ndo maana najiamini wanao kimbia wengi ni mashabiki maandazi
 
Kama line 1 anasema Gool kick ambaye ndiye anatoa maamuzi mipira ya pembeni wewe Refa hujaona kwanini uamue Kona.
Line 1 kakimbia mpaka kamaliza Chak, yupo kwenye kibendela unawezaje ku mbishia wewe center refa ree na Ile ni kazi yake.
Basi kuondoa utata kamfate umuulize line wako ndivyo wenzake wanavyo fanya kote.
Kwa hiyo ikiwa mipira ya pembeni tu, basi refa wa kati anatakiwa kufumba macho ili asubiri mshika kibendera aaamue? Au na yeye hufuatilia?

Ova
 
Yanga kumbuken hata ngao na nyie tuliwakula hivi hivi... Mlilalamika sana lakini mwisho wa siku tayari tulikua tushawakula.
 
Nenda u tube uka hakiki hakuna mchezaji yoyote wa Singida aliye ugusa mpira wakati unatoka miguuni kwa Saidoo ili iwe Kona.
Yale ni Mapenzi ya refa na Wala hakukosea ila alikusudia.
Soccer letu kivyetu vyetu.
Tangu lini ukauzungumzia mpira bila kuwa biased? Ule mpira uliguswa na hata kipa wa Singida alilijua hilo ndiomaana akawa anakomaa kuudaka ule mpira licha ya kwamba haukuwa unaelekea golini na tayari umetoka. Kipa alikuwa anajaribu kuokoa kona isitokee.

Nyie lalamikieni dakika tu, kitu ambacho pia bado hakina mashiko.
 
Tangu lini ukauzungumzia mpira bila kuwa biased? Ule mpira uliguswa na hata kipa wa Singida alilijua hilo ndiomaana akawa anakomaa kuudaka ule mpira licha ya kwamba haukuwa unaelekea golini na tayari umetoka. Kipa alikuwa anajaribu kuokoa kona isitokee.

Nyie lalamikieni dakika tu, kitu ambacho pia bado hakina mashiko.
Hivi mpira haukuguswa halafu yule kipa akimbilie kuudaka wakati mda wote alikuwa bingwa wa kupoteza mda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom