FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

FB_IMG_17049200588081804.jpg

Wenye akili wanajua kilichofanyika ni upuuzi..
 
Mpira ulishatoka Tena sio nusu, mpira wote ata mshika kibendela hakuangaika nao, Mbaya zaidi refa alikua mita 10 inakuaje atoe maamuzi ya kushangaza.

Hitimisho nikua refa alikusudia na si makosa ya kibinadamu.
Mipira ya pembeni Refa wa kati ana saidiwa na mshika kibendera ambaye hakuona iyo Kona aliyo Iona Refa.

Ndio maana Singida hawaku hangaika na Refa msaidizi kwakua hakua na tatizo.
Hapana Mkuu, haukutoka wote.

Ova
 
Ule mpira wakati Saido anapiga cross uliguswa kidogo na beki , kama haukuguswa yule kipa na kupenda kupoteza mda asingekuwa anakata mauno fasta kwenda kuudaka nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
N saw we ulitaka asem kwamb ameend kukamilish ratib au
Sijaelewa kwa nini mnapingana na kocha wenu.

Kocha alishatoa uamuzi kwamba analitaka kombe, mashabiki maandazi mnasema mnatest vijana😂

Mfateni kocha afute hayo maamuzi ili mmbaki na uamuzi mmoja wa kutest vijana
 
Watu mnachonga bure tu tujikumbushe wydad anapata goli sekunde kdhaaa mbele simba hatukuwa na noma leo wanafungwa singida amfibia mnakenua midomo hovyo malalamiko yenu hayabadilishi matokeo refa kashaamua ndo basi tena
 
Singida wamezingua wenyewe kwa kupoteza muda
ndio maana refa ameongeza dakika zake yaani hiyo ndio inakuwa fundisho chezeni mpira ili kuondoa lawama kwa refa.
 
Back
Top Bottom