Mimi ninachoshangaa kumbe Tz tuna watu wengi sana wajinga hasa linapokuja suala la mpira... Yani mtu anashangaa kwa nini ile ilikuwa kona, wakati mchezaji wa Singida ali deflect ule mpira kabla ya kipa kuudaka nje ya mstari ndio maana ikawa kona.
Dakika za nyongeza hata zikiwa 2, refa anauwezo wakuchezesha mpaka dakika za ziada ikiwa tu kulikuwa na upotevu wa muda...
Mfano hii mechi ya juzi Inter vs Verona, dakika ziliongezwa 5 lakini mechi ilienda mpaka dakika 100.
View: https://youtu.be/GVZW1X6_p1Y