Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Ni offside au?refa kafanya kama wenzie wanavyo fanyaga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni offside au?refa kafanya kama wenzie wanavyo fanyaga
Vaa miwaniSioni mchezaji wa kusawazisha hapo
Kona pale Imetokea wap Mkuuuuu... Kuna kona pale we umeion?Kumbukeni SIMBA nae alifungwa juzi juzi tu hapo goli dk za zaidi ya zile alizoongeza REFA.. acheni unafki.
mberekoNi offside au?
Dak ziliongezwa 6 kwanini Refa apeleke mpaka 8 afu kona za kutafta kwa tochi
Ila utopolo ndio wana furaha 🤣Benchika amesawazisha lkn hana furaha 😁😁
MmebebwaKwa hiyo
Lete penalt mkuuLeo saa 2:15 usiku ni Singida Fountain Gate dhidi ya Simba SC katika mtanange wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi itakayopigwa leo 10.01.2024.
Tayari timu ya Mlandege kutokea Zanzibar imeshatangulia fainali.
Je, unaipa nafasi timu gani kuifata Mlandege?
View attachment 2867638- Onyango na Habibu Kiyombo wametolewa kikosini
Kikosi cha Simba kinachoanza
View attachment 2867641
Kikosi cha Singida FG kinachoanza
- Mpira Umeanza
- Singida wameanza kwa kushambulia kwa kasi
- Goool Rupia anawatanguliza Simba
- Bado Singida wanaliandama lango la Simba
- Dakika ya 40 bado mambo magumu kwa Simba
HT: Singida FG 1 - 0 Simba SC
Kipindi cha pili kimeanza
Dakika ya 50 simba wanapata faulo
Dakika ya 70 bado mambo magumu kwa Simba
Dakika ya 75 Simba inashambulia Singida wanalinda
Dakika ya 80 bado Singida wanaongoza
Dakika ya 90 Singida 1 - 0 Simba
Dakika ya 90 +8 Ngoma anasawazisha hapa
Ni muda wa penati kwa sasa
Mbona hamtoi maelezo ya kueleweka kila mtu anaongea nusu nusu mnazidi kuniacha na maswali mengiLigi Yakiduanzi sana Umama ni mwingi
Kona pale Imetokea wap Mkuuuuu... Kuna kona pale we umeion?
Acha kuwasemeaHuu ushindi simba hawana furaha nao kabisa.
Hii mentality ndio huwa inawamaliza mnaanza kuongea utumbo. Huu ni mpira wa miguu yoyote anaweza kufungwa na sio jambo la ajabu kufungwa. Acheni ushamba nyieIlikuwa aibu sana, kumaliza hii game kwa kufungwa.
Nilijua tu.Refa keshaambiwa lazima kolo wizard ashinde hii game no matter what