FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Leo saa 2:15 usiku ni Singida Fountain Gate dhidi ya Simba SC katika mtanange wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi itakayopigwa leo 10.01.2024.

Tayari timu ya Mlandege kutokea Zanzibar imeshatangulia fainali.

Je, unaipa nafasi timu gani kuifata Mlandege?

View attachment 2867638
Kikosi cha Simba kinachoanza
View attachment 2867641
Kikosi cha Singida FG kinachoanza

- Onyango na Habibu Kiyombo wametolewa kikosini

- Mpira Umeanza

- Singida wameanza kwa kushambulia kwa kasi

- Goool Rupia anawatanguliza Simba

- Bado Singida wanaliandama lango la Simba

- Dakika ya 40 bado mambo magumu kwa Simba

HT: Singida FG 1 - 0 Simba SC

Kipindi cha pili kimeanza

Dakika ya 50 simba wanapata faulo

Dakika ya 70 bado mambo magumu kwa Simba

Dakika ya 75 Simba inashambulia Singida wanalinda

Dakika ya 80 bado Singida wanaongoza

Dakika ya 90 Singida 1 - 0 Simba

Dakika ya 90 +8 Ngoma anasawazisha hapa

Ni muda wa penati kwa sasa
Lete penalt mkuu
 
Ligi Yakiduanzi sana Umama ni mwingi
Mbona hamtoi maelezo ya kueleweka kila mtu anaongea nusu nusu mnazidi kuniacha na maswali mengi

Goli limefungwa katika mazingira gani?

Offside au?
 
Refa ndio mwamuzi wa MWISHO.. na yeye ndie anaejua muda gani wa kumaliza mpira. Utopolo kwa sasa mtapungua humu kadri muda utakavyozidi songa..

Dawa bado...
 
Back
Top Bottom