FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Penalty ya Mwisho.
Kaseke akikosa.
Mpira umeisha..
Amepata.
 
[emoji81][emoji81][emoji81] mkubwa pamoja na kuweka full mkoko ila bado ana pitia kitonga cha TFF
 
Kwani hizo zilizoongezeka zilikuwa zinatumiwa na timu moja pekee?
sijauliza matumizi
nimeuliza ziliongezwa sita huyu hadi zinafika tisa alipata wapi zingine ikinijibu ndo tuje zilitumiwaje ndo ntakuuliza kona ilitokea wap
 
Back
Top Bottom