Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Kwa tunaoamini uchawi upo, usikute alitumia magic spell!Hakuna kipya hapo, ndio upigaje wake. Sema kipa alimchezea mchezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa tunaoamini uchawi upo, usikute alitumia magic spell!Hakuna kipya hapo, ndio upigaje wake. Sema kipa alimchezea mchezo
Salim alivyomfuata pale haikua bure aiseeHakuna kipya hapo, ndio upigaje wake. Sema kipa alimchezea mchezo
😂🤣😁😁Kabisa kaka ila refa Leo kawabeba simba sc🤣😂😁😁Kaka kumbe hunaga baya
😂 😂 Nabado mtalala na viatu leo Uto wahed 😁 😁Hii ni maajabu
View attachment 2867808
Ile haikuwa kona kwa sababu hizi.Ile ni kona sio kona ? Kama ni kona elezea
Kama sio kona elezea
Temenebwa engo ipi mkuu? Embu funguka vizuriIla simba Tumebewa na Tren ya Refa leo Tungewaachia tu Singida Wacheze Sipendagi Dhulma mimi
Ni kwa sababu afrika ni bara la hovyoBaadhi ya mashabiki wa kibongo ni kama mambuzi tu.
Kwenye ile mechi kati ya Simba Sc na Wydad kule ugenini ziliongezwa dakika ngapi? Na Simba Sc akaja kufungwa dakika ya ngapi?
Tulivyolalamika mashabiki wa Yanga Sc waliponda sana, ila leo kwakua haiko upande wao ndio wanaona tatizo?
Mimi sioni tatizo lolote kwa refa.
Bhasi sawa nimejua shida iko wapi 🤣🤣🤣singida angeongeza bado hakuna shida kwa sababu alikuwa anaongoza na alikuwa na faida
simba akipata goli alikuwa anajiokoa huoni utofauti hapo
Mapinduzi Cup wasipofikiria kutumia marefa wa nje, basi mashindano hayo yatakufa. Mwaka huu timu zote mbili zilizoingia fainali zimebebwa na marefa tu; kwa uhakika fainali halisi ilitakiwa kuwa baina ya APR na SingidaMchezo umekwisha lakini makosa ya mwamuzi yamewacost Singida FG, Goli la Simba limepatikana dakika ya 98 wakati ziliongezwa dakika 6, 90+6=96.
Hajala chake wala nini, penalt hazina mwenyeweAshakula chake hapo..siyo bure,
Hata mtu asiye mchezaji hawezi kufanya vile
Neverhaitotokea milele
Ukweli umeumia wewe ukisubiri boti ya asubuhi ujifiche kwenye logistic za simbaUzuri ukweli mnaujua mioyoni mwenu.
Mechi imeshaisha ukafanye shughuli nyingineRefa vp maliza mpira huooooooo...... tukafanye shughuli nyingine.
Mtasema yote leoSalim alivyomfuata pale haikua bure aisee
Dakika za nyongeza za kamisaa zilikuwa ni sita tu, na ndio kibao kilionyesha uwanjani. Azam walianza kwa kuweka kusema ni dakika 8 (sijui walielezwa na nani?) lakini kibao kilipoonyesha ni dakika sita na wao wakabadilisha na kuandika ni dakika 6.
Mipango scMtasema yote leo manina
kawaida tu hata simba alifungwa na wydad casablanca goli kama hilo kule morrocoMchezo umekwisha lakini makosa ya mwamuzi yamewacost Singida FG, Goli la Simba limepatikana dakika ya 98 wakati ziliongezwa dakika 6, 90+6=96.
Ukweli ni kwamba umeona Mechi Kwa hiyo kilichotokea unakijua. Mimi ningekuwà na uhakika hujaona Mechi ningekuhadithia.Walalamikaji wengi wapo kihisia hata nilipowaomba ufafanuzi wa kilichotokea hakuna aliyejitokeza kutoa sababu ya maana
Hii inafanya ionekane watu ambao hawajaona mpira washindwe kujua nini kimefanyika
Na pointi hiyo inapoteza maana halisi ya live updates kama vitu sensitive kama hivi vinaishia gizani na watu tunaowategemea kutoa ufafanuzi wapo kihisia
Tofauti na Simba Sc kwenda fainali, kuna ukweli gani mwingine?Hongera.....ila ukweli moyoni unaujua.