Mr Slim
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 2,652
- 5,242
Nani kawatendea simba? Nani mtenda miujiza?Mbengo zimefongoka, Simba Mnyama wa mwituni katinga fainali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kawatendea simba? Nani mtenda miujiza?Mbengo zimefongoka, Simba Mnyama wa mwituni katinga fainali
Simba MNA midomo ' mbengo'😂😂😂Mbengo zimefongoka, Simba Mnyama wa mwituni katinga fainali
Wewe hukutazama mpira ulikuwa na yako. Mbona kuna wachezaji zaidi ya 3 wa Singida walilala. Mngewalaumu Singida badala ya refa. Hii mechi ilishaisha hata mimi nimerudia getiniMwasibu naomba uweke kumbukumbu Sawa. Kati ya dakika ya 90 na 96 ni mchezaji gani wa Singida aliyelala dakika 2?
Kipa wa singida ajapoteza muda sana na singida zilivofika dakika 90 hawajapoteza mudaKwa ulaya zingeongezwa dakika 12 .Kipa wa kibongo huwa wanapoteza dakika kifala sana.
Naunga mkono hojaBado watu wanajiuliza kwa nini marefa wa Kitanzania hawapangwi kuchezesha mechi za kimaitaifa!!?
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Huu ni muda wa kukoroma, giza limeshatanda dimbwini.Mara dk 98 , mara kona mara Kagere. Hamueleweki mnasimamia nini.
Weka facts badala ya hisia na utopolo.
Kivipi sasa. Kina ni halisi, dakika wamepoteza Singida. Mkuje kututazama pia fainaliMarefa kaka wamewabebeni
Kwa nini hamkuongeza mabao katika hizo dakika za nyongeza?Ushirikina wapi wakati refa kawapeleka hadi dakika 98 wakati zimeongezwa 96
Kocha wa APR asikilizwe ana hoja....Kivipi sasa. Kina ni halisi, dakika wamepoteza Singida. Mkuje kututazama pia fainali
Kwa hiyo wewe hujawahi kuona magoli kama hayo?Mchezo umekwisha lakini makosa ya mwamuzi yamewacost Singida FG, Goli la Simba limepatikana dakika ya 98 wakati ziliongezwa dakika 6, 90+6=96.