FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Mwasibu naomba uweke kumbukumbu Sawa. Kati ya dakika ya 90 na 96 ni mchezaji gani wa Singida aliyelala dakika 2?
Wewe hukutazama mpira ulikuwa na yako. Mbona kuna wachezaji zaidi ya 3 wa Singida walilala. Mngewalaumu Singida badala ya refa. Hii mechi ilishaisha hata mimi nimerudia getini
 
1704733110456.jpg
 
Majuzi niliacha kuangalia baada ya azam kufunga goli la offside na refa akalikubali, Jana niliacha kuangalia ile match. Baada ya apr kufunga goli la wazi afu refa akasema alizidi. Leo niliachia pale kipa alivyodaka mpira nje ya uwanja ili aanze lakini akaambiwa ni kona.
 
Refa na Kagere ni familia,nyie uto mnaumia nini sasa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
muda wa watu kucheza mpira wengine wakawa wanalaka uwanjani?
hivi hizo dakika zilizo zidi walikuwa wanacheza nani na nani?
hivi singida ingeshinda ingekuwaje?
 
Back
Top Bottom