FT: Singida FGT 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | CCM Kirumba | 14.4.2024

FT: Singida FGT 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | CCM Kirumba | 14.4.2024

Wazo Zuri sana mkuu ...
Baadhi wameona halifai ila ni ili kuboresha baadhi ya viwanja sio rafiki kabisa ni basi tu mpira unachezwa ili uchezwe eg uwanja wa Dodoma ule mvua ikinyesha au Tabora mbona utaupenda
 
Back
Top Bottom