FT: Singida FGT 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | CCM Kirumba | 14.4.2024

Hivi viwanja si tungechagua viwanja vichache vichezewe ligi kuu eg Azam,Mkapa,uhuru,angalau kidogo Mkwakwani,
Team ziwe zinaweka kambi hapahapa Dar basi
 
Uwanja ndio Changamoto upande wenye nafuu ni kule aliko Mzinze,na jamaa wanacheza rafu sana.
Ni kweli mkuu but we have to find an excuse to win not to loose(ranger training policy Utah base)
 
Hivi viwanja si tungechagua viwanja vichache vichezewe ligi kuu eg Azam,Mkapa,uhuru,angalau kidogo Mkwakwani,
Team ziwe zinaweka kambi hapahapa Dar basi
Watu wa dar hua mnahisi Kila kitu kifanyike kwenu, serikali na Hawa wadhamini waje na plan ya kuboresha viwanja, unataka Timu zote za mkoani waweke Kambi dar sio?
 
Ni wazo don't take it personal hakuna watu wa dar Kuna mashabiki wa mpira
Hizo plan za kuboresha ziendelee huku league ikifanyika maeneo Bora
 
Back
Top Bottom