FT: Singida FGT 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | CCM Kirumba | 14.4.2024

FT: Singida FGT 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | CCM Kirumba | 14.4.2024

Hivi CCM hawavioni hivi viwanja kweli? Viwanja vinajaa Maji na kuharibu utamu wa ball.
 
Hivi CCM hawavioni hivi viwanja kweli? Viwanja vinajaa Maji na kuharibu utamu wa ball.
Ni kipimo Cha utendaji na ubunifu wa watanzania
Hii ndio nchi yenye viwanja Bora kabisa afrika kama vingeendelezwa ila sasa waliopewa Kila siku ni kupaka chokaa
 
Mechi inqchezewa Mwanza halafu Mwanza haina umeme, hii nchi inasikitisha sana.

All the best Young Africans๐Ÿ’›๐Ÿ’š๐Ÿ’›
 
Back
Top Bottom