FT: Singida FGT 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | CCM Kirumba | 14.4.2024

Simba wanaliaaaaaaaa kwanini tar 20 April anakutana na Yanga, ni taharuki tupu huko Simba, waganga wao wote wamesema kipigo sio mkono tena, huenda mechi isiishe wakakimbia uwanja
Hizi ndio akili za amphibian kelele kelele tu.

Haishangazi
 
Simba wanaliaaaaaaaa kwanini tar 20 April anakutana na Yanga, ni taharuki tupu huko Simba, waganga wao wote wamesema kipigo sio mkono tena, huenda mechi isiishe wakakimbia uwanja
Hili hata mi naliona sana kipindi Cha pili Simba hawatarejea uwanjani nadhani tutumie technique kipindi Cha kwanza tuwale 3 ili warudi ndio tuweke 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…