MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Engineer pambana sana huyu kiumbe asiondoke Yanga tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni demo Kwa Makolo tarehe 20.Huyu mkono unamuhusu,anakula tano mda si mrefu.
Hizi ndio akili za amphibian kelele kelele tu.Simba wanaliaaaaaaaa kwanini tar 20 April anakutana na Yanga, ni taharuki tupu huko Simba, waganga wao wote wamesema kipigo sio mkono tena, huenda mechi isiishe wakakimbia uwanja
Hahaha kwa ihefu watasema walirudisha tano, kwa kagera sugar watasema walitoa draw, japo ilikuwa wafungwe ila refa alikataa goliOngezea na Ihefu ya Mbarali na Kagera shuga hizi zote ni za Asia 😂
Uko sahihi mkuuHii ni demo Kwa Makolo tarehe 20.
Kocha towa wachezaji wote muhimu mpaka Diara atolewe.
Hawa tuwaachie kina Nkane wamalizane nao.
Tarehe 20 kuna jukumu la kuwafunga mdomo Makolo.
Hahahaaaaa Sasa walio hai wapo wapi au date 20Bomu mochwari....
😂😂😂😂Chupi ishakaa upande[emoji41]
Mimi ningekuwa benchika tarehe 20 natafuta dharuraDah benchika akiona Yanga wana cheza hivi majarubani afu aone na wanae wakicheza vile palace lazima aumwe kichwa tar 20
Hili hata mi naliona sana kipindi Cha pili Simba hawatarejea uwanjani nadhani tutumie technique kipindi Cha kwanza tuwale 3 ili warudi ndio tuweke 5Simba wanaliaaaaaaaa kwanini tar 20 April anakutana na Yanga, ni taharuki tupu huko Simba, waganga wao wote wamesema kipigo sio mkono tena, huenda mechi isiishe wakakimbia uwanja
Kabisa amtoe aje kutupigia makolo tar 20Gamondi Aziz k akiumia hizi dakika utatueleza Nini wananchi? Mtoe game ishaisha hii
Hawajawahi lipa goli za Ihefu ya Mbarali, ile timu walioipiga 5 ni Singida ya Nchemba na sio Ihefu ya Mbarali.Hahaha kwa ihefu watasema walirudisha tano
Mmenunua mechi ,beno kaona hawezi kukubali upumbavu wenu. Timu inacheza kwa maelekezo ya Boss.Beno kakolanya bora amekimbia alijua hili 😂😂😂