Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Simba fanyeni home work yenu vizuri, Mkude amepumzishwa tayari maana yake mnaye huyu tarehe 20 ili mumueleze mlimuacha Vipi yeye na kusajiri magarasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hawa wamekula tatu mnasema tumenunua mechi na waliokula tano nao mnasemaje....?Mmenunua mechi ,beno kaona hawezi kukubali upumbavu wenu. Timu inacheza kwa maelekezo ya Boss.
🤣🤣🤣 kabisa.Hahahahaha ! Mwasibu apigwe mpaka akiri kuwa yeye ni tapeli..
Hebu nitag Kwa Mwasibu nije kusaini kitabu cha mahudhurio.😀😀Hahahahaha ! Mwasibu apigwe mpaka akiri kuwa yeye ni tapeli..
Mlinunua baadhi ya wachezajiKama hawa wamekula tatu mnasema tumenunua mechi na waliokula tano nao mnasemaje....?
Hata hiyo hamjawahi kulipa zile 6 ilizowapiga, hizo 5 mlizopiga ingekuwa heri mngeongeza na 1 ili mlipe deni.Na ile ilyokula tano moja ni ya nani.
Ndio mkala tano...... na wale CRB nao walio kula nne bila ilikuwaje........ maana wana uchumi mkubwa kuliko klabu yoyote ya Tz.Hebu tuambie.........Mlinunua baadhi ya wachezaji
Muda bado mnao kaeni na wachezaji wenu hatutaki kisingizio chochote tarehe 20.Mlinunua baadhi ya wachezaji
Kwa hiyo hamkuumia kabisa na zile tano,maana mpaka kocha mkamuondoa.....Hata hiyo hamjawahi kulipa zile 6 ilizowapiga, hizo 5 mlizopiga ingekuwa heri mngeongeza na 1 ili mlipe deni.
Jutahidi tarehe 20 mlipe deni enyi Amphibians.
Makolo wana mengi ya kueleza. Wanatakiwa wamueleze Azizi K kama lile shuti lake dhidi ya Mamelodi lilikuwa goli au siyo goli?Simba fanyeni home work yenu vizuri, Mkude amepumzishwa tayari maana yake mnaye huyu tarehe 20 ili mumueleze mlimuacha Vipi yeye na kusajiri magarasa?