Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamekata pumziWamekutana na wanaojua
...na mtasemaUkiacha hako ka goli ka papatu papatu, Simba hawana mpira wowote na watapigwa sana huko makundi cafcl
hakuna cha kuziba mianya sema singida mbele hawajatulia ila simba mwanya mkubwa mno na hawazibi kituSingida wakipata mpira ni kama hawajui wafanye nini maana simba wanaziba mianya
Tupo na Singida, mambo ya Ihefu wape waliokimbia viroba vya dezo vya mchele 😁Hata utopolo tulianza hivihivi kwa Ihefu, ila tulichokipata kila mtu anakijua. Kwaio ndugu zangu mikia msije kugeukana hapo badae