mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Mbumbumbu hawezi kujua Hilo mkuu, ni saw unapigia gitaa mbuzihakuna cha kuziba mianya sema singida mbele hawajatulia ila simba mwanya mkubwa mno na hawazibi kitu
Kwani Singida si Tawi la hapo utopolokwinyo?Kuna kila dalili kuwa Singida FG wameuza hii mechi maana uwezo wa kuwafunga Simba wanao ila wanacheza hovyohovyo tu muda uende
Na bado hatuna furaha[emoji1787]Tuna upiga mwingi mnoo hapa
[emoji23][emoji23][emoji23]Na bado hatuna furaha[emoji1787]