FT: Singida Fountain Gate 1 - 2 Simba SC | NBC Premier League | CCM Liti Singida | Oktoba 8, 2023

Aisee! Kocha wa simba anavumilia mengi kwa kweli.
 
LBda alikuwa anataka droo utasemaje sasa yaani huyu jamaa ni fala tatizo tunaamini sana ngozi nyeupe...
Yaani bora simba ya Mgunda ila sio hii
 
naamini caf sasa ivi wanajuta kuiita hii timu kwenye mashindano maana itakuwa vichekesho kule
Na watajuta kweli. Wangeialika Yanga, muda huu wangekuwa wanasubiria tu kuona pira burudani, badala ya pira papatu papatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…