Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaaaaa,Robertihno haendi popote,mpaka tumfunge Al AhylTuna wazee wetu pale simba tutawatuma waende wakaongee maana huu ni upuuzi
Aisee! Kocha wa simba anavumilia mengi kwa kweli.Hapo ndipo mashabiki huwa hatumwelewi huyu kocha!! Unamtoaje Chama muda mfupi tu baada ya goli kusawazishwa? Chama ana uwezo binafsi unaoweza kubadili matokea muda wowote, na ni mpiganaji asiyechoka wala kukata tamaa!! Tukubali tusikubali hapa hatuna kocha!! Viongozi wanatumia hekima tu kumsemea vizuri maana bado ni kocha wetu!!
Sio beki tu ndugu. Timu nzima nadhani hakuna program za mazoezi wanazofanyiwa. Ni kama soka ya ridhaa tu.Beki ya Simba bado ina shida pamoja na kipa wao.
LBda alikuwa anataka droo utasemaje sasa yaani huyu jamaa ni fala tatizo tunaamini sana ngozi nyeupe...Hapo ndipo mashabiki huwa hatumwelewi huyu kocha!! Unamtoaje Chama muda mfupi tu baada ya goli kusawazishwa? Chama ana uwezo binafsi unaoweza kubadili matokea muda wowote, na ni mpiganaji asiyechoka wala kukata tamaa!! Tukubali tusikubali hapa hatuna kocha!! Viongozi wanatumia hekima tu kumsemea vizuri maana bado ni kocha wetu!!
Acha waende tupate vichekesho vya bureeenaamini caf sasa ivi wanajuta kuiita hii timu kwenye mashindano maana itakuwa vichekesho kule
Na watajuta kweli. Wangeialika Yanga, muda huu wangekuwa wanasubiria tu kuona pira burudani, badala ya pira papatu papatu.naamini caf sasa ivi wanajuta kuiita hii timu kwenye mashindano maana itakuwa vichekesho kule
Ameflop,kiwango kimeshukaHivi kuna sababu gani za kiufundi za kumtoa Cahama?
WoyoooooooLuisi anapata goli lake kwa mara ya kwanza