MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
Wachawi wapo busy kweli muda huu tena sn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawahi kuanzisha uzi Ila wanashindwa kutoa updateJf hovyo sana. Watu wanajitolea kuanzisha Uzi za live updates ili kuhabarisha kinachojiri, halafu hawa kenge hawataki kutoa ushirikiano[emoji848]Hopeless kabisaa Hawa[emoji706][emoji706]
Ukipigwa ban usitafute mchawikenge hawataki kutoa ushirikiano
Simba inapigwa kimoja tu, cha kumfanya hause girl apate mimbaMatch Day
📅 October 8, 2023.
⚽ NBC Premier League
Singida Fountain Gate vs Simba Sc
🏟️ CCM Liti, Singida.
⏰ 4:00Pm.
Haya, kumekucha vyema.
Baada ya michezo ya jana ya ligi kuu Tanzania Bara kupigwa,
Tukishuhudia Yanga kutoa kipigo kwa Geita Gold cha 3-0
Huku Ihefu akizamishwa na KMC kwa 1 - 0
Leo ni zamu ya Wanasingida (Singida Fountain Gate dhidi ya Simba Sports Club ya Dar es salaam.
Mchezo utapigwa mida ya saa kumi jioni.
Viva Simba, Viva Mnyama.
Tutarudi kileleni kwa kishindo.
#Nguvu moja#
Kikosi cha Simba kinachoanza
Unajua kauli mbinu ya JF? Acha tabia za uwoga kenge weweKuna kenge humu? Chunga vidole vyako.
Ukipigwa ban usitafute mchawi