FT: Singida Fountain Gate 1 - 2 Simba SC | NBC Premier League | CCM Liti Singida | Oktoba 8, 2023

FT: Singida Fountain Gate 1 - 2 Simba SC | NBC Premier League | CCM Liti Singida | Oktoba 8, 2023

Haloooo dah piga kung-fu [emoji26][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii Simba ya Robertinho ndiyo Simba mbovu kuliko zote ukitoa ile ya 1989. Timu haina kasi, haijui kujipanga, haifunguki, haikabi, wachezaji hawana skills kabisa. Hilo benchi la ufundi liondoke kabisa.
 
hakuna timu hapa sema mahaba ya watanzania

yanga itabaki timu bora na yenye mchezo wa kuvutia ikifuatiwa na singida, tabora,untd, namungo, azam

wengine ni kujikongoja
 
Mechi imekua na presha Sana .. Ila nahisi kocha kazingua Sana kumtoa chama
 
Singida wanaanza kupoteza muda kama vile wameshinda
 
Back
Top Bottom