Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
KiunoniWamekubebea wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KiunoniWamekubebea wapi
Wamebebwagoli halali limegeuka offside daaah wakat che malon alikuwepo nyuma
Na walilonyimwa Simba je? Analazimishwa Ihefu kuwa bingwa?Golli walio nyimwa sbs Ni wasi kuwa Simba analazimishwa kuwa bingwa
Sijui wanatokea wapi mbna England taifa kubwa hakun mademu hatakushika kibendera ila huku karia anatujazia mademu zakeHawa marefa wakike michosho sana
Sioni yaani kama kazi yao ni mpirayaan jamaa hawana mpira wa kufurahisha ni kama wafanyabiashara wanakutana tu kucheza mechi yaan maandalizi hakuna
Beki ya Simba bado ina shida pamoja na kipa wao.Nakazia. Na sio kocha tu. Benchi lote la ufundi maana wachezaji hawana utimamu kabisa. Wanajichezea tu.
Lipo.Kwenye mkeka wangu nahitaji holi koja kutoka kwenye hii mechi.
Ngoja tuone