Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Utopolo wameukimbia uzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ushaangushwaKiunoni
Kama unavyosomekaUbao unasomaje?
Ifungeni sasa, hao wenye daraja mnalotarajia ni akina nani na wamefanya nini cha kutumainiwa kwenye msimu huu..?Siamini kama Simba ni timu ya mpira ya level tunayoitarajia.
linazalisha lakiniGoli la kubahatisha
Wewe Simba ni timu kubwa,itamfunga mpaka Al Ahyl home and awaySiamini kama Simba ni timu ya mpira ya level tunayoitarajia.
AahaaaaaaMIMI NI YANGA DAMU ILA SIMBA MMESHINDIKANA NYIE NI MABINGWA CAF NA NBC[emoji196][emoji196][emoji91][emoji91]
Unaelekea wapi?Mpira unamgonga refa pale
Corner goliCorner nyingine wanapata singida
SimbaUnaelekea wapi?