Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Sio kwamba wanataka iwe hivyo, ni kwamba wanalazimishwa kufanya hayo makosa.Beki ya singida inawasindikiza Sana Hadi golini
Nyinyi ilitakiwa mshinde mechi yenu na Ihefu, sio kutegemea team nyingine ziwasaidie kuutafuna mfupa uliowashinda.