Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga au Azamu kuwa Bingwa msimu huu ni ngumu sana kwa kweli...Huu ndio msimamo kwasasa, timu yako ipo nafasi ya ngapi??View attachment 2775737
Ukiacha kukosa Lile goli, Kasi yake imerudi atakaa vizuri.Ila Miq hapana aisee
Umetumwa na Uto kuwasemea ya moyoni?Bhna robetinho aende zake bhna
Bado anajitafutaMicsson hakuna kitu, zama zake kishne
Ni kweli hatupo kumfurahisha mtuUtaratibu bado ni uleule asionekane mtu wa kukiuka
Yani asionekane mtu wa kufurahishwa na performance ya timu.
Kweli kabisa, sinmuda mrefu atajipata na atakuwa mzuri mnoBado anajitafuta
Ligi ni Marathon..Huu ndio msimamo kwasasa, timu yako ipo nafasi ya ngapi??View attachment 2775737
Jamaa bora hata mimi ninayechezea Ndulele FC ya huku Nyakatuntu Keisho Karagwe.Miqsone hadi huruma