Anhaa....Leo ndo siku ya Tabora Utd kulipa kisasi
Hawana straiker?Unatongozewa, unaletewa geto, unashindwa maliza kazi. Ndio hawa tabora united. Wana create sana, ila poor finishing. Wana upako wa Mzize.
Kuna dalili yoyote ile ya Azam kufungwa?75" wote wanafanya Sub. Azm anaingia Nado
Dah!! I wish them good.Wanaangua maembe tu.
Wanetu wa Kitayosce wanakwama wapi?Wamekoswa goli zaidi ya 4 za wazi.
Feitoto bado yupo?Bado NGOMA NGUMU DAKIKA YA 80.
Azam wajinga sana.Azam kazi kumkazia simba hah,ona sasa!
Basi sawa.Bado bila bila mzee.