Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Hata alichukua mara 100 bado CAFCL ni ni msindikizaji tu.Young Africans Atachukua Hata Mara 10 Back To Back Kwa Mwendo Huu
Umeandika kwa kutumia akili zikiwa timamu ama umeandikiwa!Hata alichukua mara 100 bado CAFCL ni ni msindikizaji tu.
Simba hata asipochukua kombe la NBC huwa ni mshindani halisi huko CAFCL.
Uto wapo vizuri kwa vimechi vya NBC league, ila kule CAFCL ni mdebwedo.Umeandika kwa kutumia akili zikiwa timamu ama umeandikiwa!
Atleast wangepata hata mechi tano za ushindani, maana Azam mpaka ligi inaenda mapumziko walikuwa wamoto sana.Acha visingizio. Siku 10 tu wanapoteza fitness?
Mechi mbili zote zilizopita walicheza vibaya.Azam ni wajinga, match wanacheza kama wameshatangaza ubingwa.
Kuna kucheza vibaya na kucheza kwa kuridhika. Azam wanacheza kwa kurelax, huioni ile fighting spirit/njaa ya ushindi. Hapa katikati yanga tulikua na low form, lakini unaona wachezaji wanapambana. Azam wapambanaji ni Dube, akamiko na kipa wao na Mustapha tu. Wengine hamna kiv wanafanya.Mechi mbili zote zilizopita walicheza vibaya.
Na hii pia umeandikiwa ama umetumia akili yako finyu kuamdikaUto wapo vizuri kwa vimechi vya NBC league, ila kule CAFCL ni mdebwedo.
Nimeandika nikiwa timamu.
CAFCL Simba wanaimudu vizuri sana, huo ndio ukweli mchungu kwa vyura 😁
Povu la nini mkuu ?Na hii pia umeandikiwa ama umetumia akili yako finyu kuamdika
Hapa kinachoongelewa ni mechi ya Tabora United na Azam FC
No ontargetAzam wanacheza kukamilisha dakika tu, sio kutafuta matokeo.
Baada ya kirumba mechi ya mwisho walicheza na geita gold weka rekodi zako sawaHawana match fitness tokea mechi ya Kirumba ,wamekaa sana bila kucheza mechi za ushindani.
Hajitambui huyoSi wametoka kucheza na Geita juzi?
Azam karibia tano za mwisho kabla ya mapumziko Azam walikiwa wamoto sana.Ukiwatizama sasa hivi unaona kabisa hawako fiti japo wachezaji ni walewale.Baada ya kirumba mechi ya mwisho walicheza na geita gold weka rekodi zako sawa