GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Hoja yako uliandika baada ya kirumba hawakucheza mechi yoyte mpaka wanacheza leo hayo mengine yakoAzam karibia tano za mwisho kabla ya mapumziko Azam walikiwa wamoto sana.Ukiwatizama sasa hivi unaona kabisa hawako fiti japo wachezaji ni walewale.
Hata hao waliocheza nao hawakuwa vizuri.Hoja yako uliandika baada ya kirumba hawakucheza mechi yoyte mpaka wanacheza leo hayo mengine yako
Nimekusaidia kuweka rekodi sawa
Hata alichukua mara 100 bado CAFCL ni ni msindikizaji tu.
Simba hata asipochukua kombe la NBC huwa ni mshindani halisi huko CAFCL.
Umeandika kwa kutumia akili zikiwa timamu ama umeandikiwa!
Sasa tufanye nini wawe vizuri?Hata hao waliocheza nao hawakuwa vizuri.
Ulifika fainali ya CAFCL mwaka jana?Cafcl Tunafika Mbali Sana Mwaka Jana Tumecheza Fainali Mwaka Huu Tunaendelea Tulipoishia
Nimesema hawajcheza mechi nyingi za ushindani nani hali ya kawaida kwenye mpira.Sasa tufanye nini wawe vizuri?
Mechi 3 za mwisho za simba walicheza baada ya siku 3 lakini hawakuwa vizuri
SUala la simba kucheza mechi 3 mfululizo kila baada ya siku tatu unalichukuliaje?Nimesema hawajcheza mechi nyingi za ushindani nani hali ya kawaida kwenye mpira.
Kusema mfanye nini mshachelewa sababu timu nyingi hazikuwa na mechi nyingi za maandalizi kabla ya roundi ya pili kuanza so wengi match fitness wanaipata ktk mechi za ushindani.
Azam sio wabaya kabisa subiria baada ya 5+ nitakukumbusha kwenye uzi huu.
Mbona kawaida kwenye mpira,ulaya wanacheza mechi kila baada ya siku mbili, huku tuna jiendekeza.SUala la simba kucheza mechi 3 mfululizo kila baada ya siku tatu unalichukuliaje?
ila viwanja vya ulaya ni rafiki kabisa kufanya hivyo tofauti na kwetu au bado hujatambua hilo?Mbona kawaida kwenye mpira,ulaya wanacheza mechi kila baada ya siku mbili, huku tuna jiendekeza.
Hamna kitu kama hicho sio sababu kwangu ya maana,utakuta timu ina mechi mfululizo tatu zote zinafanyika Dar still bado analalamika.ila viwanja vya ulaya ni rafiki kabisa kufanya hivyo tofauti na kwetu au bado hujatambua hilo?
Mfano uwanja wa ccm kirumba utaucompare na uwanja gani pale uingereza kwenye ligi ya epl?
Kama nani analalamika bado mechi zake ziko dar?Hamna kitu kama hicho sio sababu kwangu ya maana,utakuta timu ina mechi mfululizo tatu zote zinafanyika Dar still bado analalamika.
Halafu hizi timu kubwa zote zinakula flight,so kwangu mimi ni kujiendekeza.Timu zinazo takiwa kulalamikia ratiba ni hizi timu zisizokuwa na misuli mikubwa kiuchumi.
Mbona mara kibao trends hizi hujitokeza kwa timu kubwa (siitaji jina).Ila mara nyingi sana tunaona mechi zinasogeza mbele ukichunguza sababu za kijinga.Kama nani analalamika bado mechi zake ziko dar?
Kwamba ukitaja jina na hii ID yako feki utashtakiwa?Mbona mara kibao trends hizi hujitokeza kwa timu kubwa (siitaji jina).Ila mara nyingi sana tunaona mechi zinasogeza mbele ukichunguza sababu za kijinga.
Kwani wanaopewaga favor kwenye viporo ni timu zipi, kama huzijui basi ww sio mtu wa mpira.Kwamba ukitaja jina na hii ID yako feki utashtakiwa?
Ulifika fainali ya CAFCL mwaka jana?
Kweli wewe nyuma mwiko
Kichwa nnacho mpaka sasaNazungumzia Mashindano Ya Kimataifa We Endelea Kuweweseka Asec Mimosas Anakusubiri Kukukata Kichwa.
Bado hujanijibu swaliKwani wanaopewaga favor kwenye viporo ni timu zipi, kama huzijui basi ww sio mtu wa mpira.