FT: Tabora United 0 - 1 Young African SC | Jamhuri Stadium-Dodoma | NBC Premier League | 23.12.2023

33'
Tabora United wanamiliki mpira kidogo hapa.
Wanapata kona.
Inapigwa wananchi wanaondosha mpira kwenye eneo la hatari
 
36'
Yanga wanapata faulu, nje kidogo ya 18.
Anapiga Aziz K.
Kipa anaitoa.
Inakuwa kona inapigwa haileti madhara.
Wakati huo huo Bacca anapewa kadi ya njano.
 
41'
Yanga wanapata Kona hapa.
Anaipiga Aziz K haileti madhara
 
43'
Yanga wanapata kona ya 5.
Inapigwa inakuwa goli kick
 
45+2'
Tabora wanapata faulu nje kidogo ya 18.
Wakati huo Mchezaji wao yuko Chini anapatiwa matibabu.

Inapigwa faulu haileti madhara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…