FT: Tabora United 0 - 1 Young African SC | Jamhuri Stadium-Dodoma | NBC Premier League | 23.12.2023

FT: Tabora United 0 - 1 Young African SC | Jamhuri Stadium-Dodoma | NBC Premier League | 23.12.2023

Na bado kipindi cha pili ataongeza, iwe wastani wa goli 1 kila mechi.
Na ni midifildi huyo.

Vipi straika la Ukoloni Baleke? 🤣🤣
🤣🤣🤣 Baleke ana 8 kama sikosei
 
49'
Tabora United wanapiga faulo haileti impact
 
Tabora wanashambulia kidogo.

Naona kiungo ya Yanga ishachoka.

Babu Kaju leo haonekani
 
52'
Yanga wanapata faulo, anapiga Aziz K
Haileti impact
 
Tabora United wanapiga one two hapa.
Wanaonyesha utulivu sana
 
Tabora wanakosa goli hapa.

Yanga wanafanya uzembe
 
57'
Kona inapigwa na Tabora United: inaondoshwa na sure boy
 
Gamondi imebidi asimame.
Team imeanza kucheza hovyo
 
Back
Top Bottom