FT: Tabora United 0-4 Simba SC | NBC Premier League | A.H.Mwinyi Stadium | 06.02.2024

Siku tukipata mchezaji tofauti na saido hakika simba itakua haishikiki
 
Gwede gwede huko alikotoka hana goli hata moja sijui wao Yanga walijuaje kama jamaa anaiweza hiiyo kazi ya kufunga
Kazi ya kufunga kwa Yanga ni ya kila mchezaji. Leo mchezaji aliyeombwa msamaha anadhihirisha kuwa alistahili kuombwa msamaha maana bila yeye timu ina struggle haswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…