FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

weka ya 5-1
1000214333.jpg

Chagua kati ya hizo 3 niweke ipi au nisokomeze zote 3 kama ule mwiko wenu unaowatesa mitaa ya twiga na jangwani? 😅
 
Yaani kuna watu walitegemea hii Tabora ya Aden Rage kweli ifurukute mbele ya Simba? Labda Rage mwenyewe awe yuko India
 
Back
Top Bottom