FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

Basi watupe hata asali.
Unleash the royal roar in your space with this maj.jpeg
 
Alitukusanyia utamu wa nyuma mwiko,azam,black stars na wake tabora then katupea leo wote!! Simba full kukojoa tu, kaunganisha bao tatu zote. Kumbe ukikusanya utamu sehemu nyng unakuwa mtamu sana hahaha
nawe umekusanya leo kwa ajili ya mwananchi
 
Kiukweli mimi ni shabiki wa Yanga na timu yoyote itayocheza dhidi ya Simba. Kiufupi hata ikitokea hawa mabinti wa JF akina binti kiziwi na Bantu Lady wameunda timu yao wakacheza na Simba mimi nitawashangilia tu.

Nafurahi zaidi Simba wanavyofungwa kuliko Yanga wanavyoshinda.
💛💚💛💚💛💚💛💚💛💛💚💛💚
Heshima kwako magnifico mimi na binti kiziwi tunasema ahsante sana kwa upendo. Tunarudisha upendo huo mara 1000 🥰
 
Narudia tena..sioni

Hujui mpira..hii mechi haikuwa na presha?!
Usikurupuke mkuu, angalia muda mutale alioingia na Simba ilikuwa ikiongoza goli ngapi halafu jihitimishie kuwa presha kama ilikuwepo au la.
 
Kuna watu wanatamani kusema Tabora mbovu ila wakikumbuka🤣🤣🤣🤣
Tabora sio Timu tishio yaani ushabiki naweka pembeni ni WA kawaida magoli ya Yanga yote yalipitia kwa nkane Kocha anaangalia Tu ....WA kawaida au niseme ni Timu ya upepo kama Man u ya EPL
 
Back
Top Bottom