FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

Wekeni table, wekeni tableee
Screenshot_20250202_180658_Sofascore.jpg
 
Narudia tena..sioni
Joshua Mutale atumie hizi mechi zisizo na presha kutulia na kutafuta kiwango kama kipo badala ya kukimbia kimbia.
Hujui mpira..hii mechi haikuwa na presha?!
 
Sifa si zote kwa mwamuzi wa katikati mshika kibendera Fatma muamala umesoma, kila Tabora wakichomoka kwake ni offside wapi Osman Kazi
Et move za Dullah zinakua offside lakini wakiwa akina Abdallah wala mikono chini..
 
Back
Top Bottom