Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
⌚ #FullTime
Tabora United 0-3 Simba SC
12’ 33’| Leonel Ateba ⚽️⚽️
65’| Shomari Kapombe ⚽️
Tabora United 0-3 Simba SC
12’ 33’| Leonel Ateba ⚽️⚽️
65’| Shomari Kapombe ⚽️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi pia nimeona, simba wanashambulia wengi inabidi refa aangalie, sio fairRefa anapendelea kweli. Kapombe pale alikuwa ameotea, afu simba wanashambulia wengi 😂😂😂😂😂😂
Kwa kweli mkuu..ngoja na Mimi niongeze kidogo ☺️☺️😊😊😊Kwa huu ushindi wa simba ngoja na mimi nipate kidogo😆
Mpanzu anaweza ... kama wakimbadilishia majukumu.Namba aliyokuwa anacheza Chama bado haijapata mtu wa kuitendea haki.
Dk 95
0-3
Ubaya Ubwela umeendelea kuwatesa utopolo.
Tumempiga mtesi wenuUjinga tu
Yanga kama taasisi haiumii maana wana mishahara, posho n.k wanaumia vyura mashabiki.sasa yanga aumie vp ikiwa anajua una alama zake 3
sasa yanga aumie vp ikiwa anajua una alama zake 3
🚮Tumempiga mtesi wenu
Halafu kweli. Huyu jamaa inawezekana akikaa namba 10 ikamkubali. Anyway kocha anajua, muhimu timu inashinda.Mpanzu anaweza ... kama wakimbadilishia majukumu.
Kati ya Simba na Yanga nani Simba?
Kadhibitiwa na mabeki wa caf huoniOffen Chikola ni MwanaUbaya Ubwela..!
Mbona Leo hana madhara?
WeweKati ya Simba na Yanga nani Simba?
chibonge acha jazba basi
Penati ya leo haina tofauti na ile moja ya janaSimba imecheza vizuri mno ikapata Goli safi na halali kupitia Ateba. Goli lenye utata ni goli la penati, zaidi ya hapo hakuna utata wowote wa kumlalamikia refa.
Na hapo walikuwa nyumbani.View attachment 3222459
Jikaze mwiko bado unao
Pia waliongoza ligi Kwa masaa chini ya 24😂😂😂Tumewasaidia Yanga/ wanywa soup kulipa deni lao.