FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

Hiyo ni mbinu ambayo Fadlu anaifanya, zile dk 10 hadi 15 baada ya break huwa anawaambia wachezaji wapooze mpira hasa akiwa anaongoza kwani anajua mpinzani atakuja kwa kasi second half

Hivyo anaiweka team kwenye slow motion and defensive mode kwa muda mchache.
Fuatilia uone Simba wanapopoza mpira hali inakuwaje.
 
Maamuma wa uto lazima watafute walakini kwenye lile goli la 3 watafute hata uwezekano wa offside
 
M Hussein out Valentino In
Ateba out Mukwala in
Dk 79
0-2
 
Mutale na Mukwala hawa wapewe thank you kubwa kabisa. Hawatufai katika safari yetu ya kujenga timu. Wanacheza kwa kuiumiza timu. Hawako sharp wala serious uwanjani.
 
Hivi walikumbuka kusreen shot ile jana?!
 
Dah, Yaani hii burudani hapa inatolewa na timu ambayo Haina Muunganiko.! Inayojitafuta..! Ambayo Kocha bado hajapata first eleven..!

Nauliza Hawa SSC Wakipata Muunganiko au Wakipata first eleven au Wakijipata itakuwaje?
Kolo Ikijipata + mbeleko = bingwa wa dunia
 
Back
Top Bottom