FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

Makolo bila refa hamna timu, na derby watakaa, yaani no contact refa kafunika penati , rafu kabla ya kupokea mpira refa kapeta Ateba akafunga, beki kacheza mpira refa kafunika faulo sehemu ya hatari, Tabora wakiondoka mshika kibendera Fatma alichoambiwa ni kuinua shuka juu tu, hii ni aibu kubwa, hawa marefa wataishia NBC premier league tu!!

Mlungula wa refa uko laivu Ally Hassan Mwinyi , mbeleko FC ni aibu kwa soka letu!!

Yacouba na Makambo injini za Tabora United msimu huu leo wamewekwa jukwaani, kweli simba bingwa wa mechi za nje ya uwanja! Ila ni mbio za sakafuni tu, Yanga bingwa tu!

Kisa Yanga kuongoza ligi, simba lazima ibebwe kila mechi ila tarehe 8 tutawakanda na kukaa kileleni bila bugudha. Yanga ina intensity hatari mnyama lazima akae kibla achinjwe!
Haya malalamiko pelekeni caf, si injinia yupo kule
 
IMG-20250202-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom