900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
Kama penalti ni rahisi kamuulize azizi mobetoNilijua tu huyu refa leo lazima atupatie penalty mandunduka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama penalti ni rahisi kamuulize azizi mobetoNilijua tu huyu refa leo lazima atupatie penalty mandunduka
Sifa si zote kwa mwamuzi wa katikati mshika kibendera Fatma muamala umesoma, kila Tabora wakichomoka kwake ni offside wapi Osman KaziNaona straika lenye wowowooo kama Joyce leo litaimbwa sana sifa apewe muamuzi wa kati..
Hawa hawaangalii nyuma hata mwiko uingieView attachment 3222390
Jana mwiko nyuma mlipewa penalt ngapi?
Kiaziz alikosaje ile penati ya mchongo jana?Kama penalti ni rahisi kamuulize azizi mobeto
Kule GSM saba mbona mnaangaliaBora kungalia Mpali kuliko kuangalia Rage A na Rage B
Unateseka ukiwa wapi Mr 🐸?Sifa si zote kwa mwamuzi wa katikati mshika kibendera Fatma muamala umesoma, kila Tabora wakichomoka kwake ni offside wapi Osman Kazi
Mpira haujaisha hata mie naona kuna kuridhika kwa Simba. Kuna dalili ya kuchomoa hawa.Minjingu Jingu huyu jamaa alifungua uzi akidai apigwe ban simba akishinda , hili tusilisahau wakuu🙏
Ngoja tuoneMpira haujaisha hata mie naona kuna kuridhika kwa Simba. Kuna dalili ya kuchomoa hawa.
Kwani hizo mil 100 marefa haziwahusu?Sifa si zote kwa mwamuzi wa katikati mshika kibendera Fatma muamala umesoma, kila Tabora wakichomoka kwake ni offside wapi Osman Kazi
Simba hii mechi inatafuta p3 mkuu. So far tupo vizuri.Mpira haujaisha hata mie naona kuna kuridhika kwa Simba. Kuna dalili ya kuchomoa hawa.
UTO kwenye moja na mbiliMpira wetu tunatamani usogee lakini haiwezekani ukasogea kwa namna waamuzi wanavyofanya viwanjani
Hii ni tatizo lililoanza miaka ya hivi karibuni na sasa tukiruhusu lizoeleke litaenda kujenga utamaduni na kufanya iwe ni nature ya timuKuna relaxation Simba wameingia nayo hiki kipindi cha pili. Ni kama wamewaona ni timu ya kawaida. Kuna wakati benchi la ufundi letu linajisahau pia.