Weka 5-0weka ya 5-1
Bila ya kusahau 6-0Weka 5-0
weka ya 5-1
Kuna nini tena jamani?View attachment 3224118
Chagua kati ya hizo 3 niweke ipi au nisokomeze zote 3 kama ule mwiko wenu unaowatesa mitaa ya twiga na jangwani? π
itabidi na mimi niwe yanga ili niopoe mrembo hapaMimi Yanga lialia ππππ hatuonani mrembo wewe binti kiziwi natumai kwema huko.
Simba wamepiga pasi 20 kabla ya Kapombe kufunga goli. Kati ya hizo pasi 20 Rage kapiga ngapi?Yaani kuna watu walitegemea hii Tabora ya Aden Rage kweli ifurukute mbele ya Simba? Labda Rage mwenyewe awe yuko India
Yaani kuna watu walitegemea hii Tabora ya Aden Rage kweli ifurukute mbele ya Simba? Labda Rage mwenyewe awe yuko India
Nampa darsa kidogoKuna nini tena jamani?
Huyo ni nani... Ni Jakaya ama ni Mzee Sunday Manara?Nampa darsa kidogo
Kati ya hao wawili hayupo hapoHuyo ni nani... Ni Jakaya ama ni Mzee Sunday Manara?
Hatari na robo Tatu na nusuCalculator zimeanza tenaππ