FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

Hata mimi nawafuatilia kwa karibu sana. Wanashangilia hovyo alafu hawajulikani wanashangilia nini na team gani.
Hawa sio wanashangilia best looser kwamba possibility ya timu yao kwenda 16 bora, na ni baada ya Zambia kupigwa na Morocco
 
Ndo maana ake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Oh, basi jilegeze
Nikubebe mgongoni (iyelewi)
Kitandani nikoleze
Kwa miuno ya kingoni (iyelewi)
Kisha nibembeleze
Nirudishe utotoni (iyelewi) πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…