Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
- #361
Dakika ya 45 imeongezwa Moja hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana ake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji23][emoji23]Wacha weee
Tulizingua wenyewe game na zambia daaah....Zambia 0 - 1 Morocco
Hawa sio wanashangilia best looser kwamba possibility ya timu yao kwenda 16 bora, na ni baada ya Zambia kupigwa na MoroccoHata mimi nawafuatilia kwa karibu sana. Wanashangilia hovyo alafu hawajulikani wanashangilia nini na team gani.
Tutawafunga. Hawa naona tunawamudu. Hawana ushirikiano.Tunachokosa ni Mashuti tu kwenye Goli la Congo mengine yote tunaenda Sawa
Yeah shangilia yao haina msaada sana kwa wale wanaowakusudiaHata mimi nawafuatilia kwa karibu sana. Wanashangilia hovyo alafu hawajulikani wanashangilia nini na team gani.
Shirika la hovyo sana hili sijapata ona kwakweliTANESCO wanakatwa
Mbona hawajafunga?Leo staz wanacheza vizuri.
Na Serikali inafurahia tu huu ujingaShirika la hovyo sana hili sijapata ona kwakweli
Oh, basi jilegezeNdo maana ake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanazingua sanaNa Serikali inafurahia tu huu ujinga
Mnacheza mieleka?Congo msiniangushe
Achana na link nenda play store pakua livesport app
Ushindi ni wetu leoGood Save Manula
Mimi hata sielewi, hivi rais haoni huu upuuzi wa TANESCO?Na Serikali inafurahia tu huu ujinga