BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Safi sanaaaa morocco
Morocco 1-0
Hakim ziyech
Morocco 1-0
Hakim ziyech
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko nyanda za juu, na sio kusini kabisa, hata tamaduni hatufanani nao.Sasa wangoni si kusini huko huko [emoji16][emoji23][emoji23]
Kuna vimatumaini ambavyo havina accuracy.Wapi?
Mlongo na muyako penapa najionea mauza uza tu😂😂😂😂Mlongo wangu, apu hinu ye taifa starz yikita chindu gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😁😂😂Wacha weeeTuko nyanda za juu, na sio kusini kabisa, hata tamaduni hatufanani nao.
Mfyuuuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunataka Mashuti kwenye Goli la Congo wakifika Goli la Congo watie mashuti yanayolenga Goli la CongoTunapata Kona dakika ya 37
si yuko azam walamba coneFeisal yanga imemzeesha alipaswa awepo EPL
Hakuna ligi nilotaka kuanzisha, ni wee ndo ulojistukia.Sitaki hio ligi unayotaka kuianzisha
Hawa Congo tukiwakazia tunawafunga.
Naona na wenyewe wanacheza kizee sana. Hawana morali ya kushinda.