FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

Congo wanalazimisha Goli hawana muda wa kupaka rangi mpira
 
Hii hali ya upambanaji wangeifanya game ya zambia huenda tungeondoka kwemye michuano na pointi 3
 
acheni kuwapa moyo . wanacheza hovyo tu .. hizo pasi mbili tatu zisiwachanganye

unacheza utafkiri umesha qualify tayari mpira slowwww , wanajitahidi kupanda ila kwenye box hamna mtu
 
Congo wanalazimisha Goli kwa namna yoyote wanataka Goli na wakishafunga tu mchezo umeishia hapo
 
Huenda tukafungwa(naamini hivyo kuchomoka ni ngumu sana) lakini kwa hiki walichoonesha taifa stars mpaka sasa dk ya 30, wanafaa kusamehewa madhambi yao yaliyopita na machache yajayo.
Kwasababu raisi ameweka kitu mezani
 
Wanapakapaka rangi mpira tu kweli Goli la Congo baada wapige mashuti pale wanakera ushubwada
 
Back
Top Bottom