FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

Mipira mirefu yote inapotea. Inatakiwa waboreshe makadilio hawa vijana wetu.

Kuna haja ya makocha kujua topic ya projectile mosheni
Congo wakipata mpira wanashambulia mpaka Offside hawaiachi wala hawabembeleziii wanataka Goli Sisi tunacheza kiPSG tunabembeleza mpira mpaka golini hatuchezi mpira dongo kukamia
 
Kurudisha mpira nyuma ndio kitu ambacho kilisahaulika kuongelewa kama kero kwenye maandamano ya leo
Kuna move moja hapo jamaa alikuwa anaomba mbele mwenye mpira akarudisha. Hii inasababisha kutumia muda mwingi sana kufikia mazingira ya kupata goli.
 
Back
Top Bottom